Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

RPC athibitisha watu kuuawa kwa kuchinjwa

Saturday , 15th Dec , 2018

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Muroto, amethibitisha kutokea kwa tukio la mauji ya watu watatu wa familia moja, ambao miili yao ilibainika kuwa wameuawa kwa kuchinjwa.

Akizungumza na www.eatv.tv, Kamanda Muroto amesema ni kweli tukio hilo limetokea katika kijiji cha Mayamaya kitongoji cha Zamahelo, na kwamba jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi.

“Ni kweli tukio hilo limetokea na limetokea usiku, na watu hao baada ya kukagua miili yao ilikuwa wameuawa kwa kuchinjwa, aliyefanya tukio hajajulikana ni nani na kwanini, kama ni ugomvi tu, au walikuwa wanadaiana bado haijajulikana, jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi, ili kuweza kuwatia nguvuni wote waliohusika na tukio hilo”, amesema Kamanda Muroto.

Mauaji hayo yametokea usiku wa Desemba 13, ambapo watu watatu wa familia moja ambao ni baba aliyejulikana kwa jina la Daudi Isaya na mkewe, Hilda Mazengo na mtoto wao mchanga.

Watu hao waligunduliwa na watoto wao wakubwa baada ya kurejea nyumbani asubuhi kutoka nyumba ya jirani ambako huwa wanalala, na kukuta mlango wa wazazi wao uko wazi kitu ambacho sio kawaida.

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu