
Brenda Nambi
Track hiyo mpya imefanyiwa kazi Didi Studio ambapo kwa sasa mwanadada huyo pia amejikita katika fani ya mitindo ya nguo na urembo.
Brenda aliyewahikuliimbia kundi lake la HB Toxic yupo mbioni kuutangaza zaidi wimbo wake huo nchini Marekani.