Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Je, huyu ndiye mpenzi mpya wa Vanessa Mdee

Wednesday , 23rd Oct , 2019

Msanii na  mrembo kutoka nchini Tanzania Vanessa Mdee huenda akawa katika penzi jipya na msanii mwenye asili ya Nigeria anayefanya shughuli zake Marekani aitwaye Rotimi.

Upande wa kushoto pichani ni Vanessa Mdee na kulia ni Rotimi

Wawili hao wameoneakana wakiwa pamoja  katika sehemu ya mapumziko kwenye bwawa la kuogelea "swimming pool" huko nchini Marekani huku wakila bata na kuvinjari.

Aidha kama haitoshi wawili hao walirekodi video fupi ikionyesha wakiwa pamoja kupitia Insta Story ya mtandao wa kijamii wa Instagram na  hata picha za mwisho walizopost kupitia mtandao huo mahali "Location" ilisoma wakiwa sehemu moja.

Pia kupitia post hizo hizo za Insta Story za mtandao huo wa Instagram Vanessa Mdee alitangaza kuwa sasa hivi atakuwa ana "block"sana watu kupitia mitandao ya kijamii.

Vanessa Mdee alikuwa na mahusiano na msanii wa RnB Bongo Juma Jux kwa muda wa miaka 6, ila walitoa taarifa za kuachana kupitia mitandao ya kijamii na baadhi ya mahojiano  kwenye vyombo vya habari mwezi wa 7 mwaka huu.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea