Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Facebook kuanza kuwalipa watumiaji wake

Monday , 24th Feb , 2020

Mtandao wa Facebook umeweka utaratibu wa kuwalipa watumiaji wake kwa kusoma kurasa za maandishi kwa sauti, ili kuimarisha mfumo wake wa utambuzi wa sauti. 

Mtandao wa Facebook

Utaratibu huo unafanywa kupitia 'app' yake mpya ya utafiti wa maoni ya masoko (market research app Viewpoints), ambapo utatumika kufundishia mfumo wa utambuzi katika kwenye mfumo mkuu wa taarifa za Facebook. 

App hiyo ya maoni katika mitandao ya kijamii ilizinduliwa miezi mitatu iliyopita kwa ajili ya kujaribu viungo vipya (features), ambapo wiki iliyopita ilianza kuwaalika watumiaji wa Facebook nchini Marekani kwa ujumbe unaosema "Hey Portal" pamoja na majina ya rafiki wa mtumiaji wapatao 10. 

Zoezi hilo linachukua dakika tano likiwa na jumla ya pointi 1000 ambapo ukikamilisha unalipwa Dola 5 (Sh.11521) na pesa hiyo itatumwa moja kwa moja kwa mhusika kupitia njia ya mtandao (Pay pal).

Mtumiaji atarekodi takribani mara tano, ambapo mara moja inampa pointi 200 na kwa mara tano inampa pointi 1000 ambazo ni sawa na Dola 5 (Sh.11521).

Utaratibu huo hutumika na makampuni mengine makubwa ya kibiashara kama Amazon, Apple na Google lakini umeleta sintofahamu kwa jinsi wanavyokusanya na kuzipitia sauti za watumiaji. Makampuni hayo hutumia utaratibu wa makubaliano ya siri ambapo watumiaji wengi hukubali bila kujua matokeo yake.
 

HABARI ZAIDI

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu