Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Yajayo Kunduchi yanafurahisha - Gwajima

Thursday , 26th Nov , 2020

Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amewetaka wakazi wa Kunduchi kuwa na subira wakati serikali inaendelea na uchunguzi juu ya eneo lililopatwa na volcano ya tope.

Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

Akizungumza leo hii, mara baada ya kufikia katika eneo hilo lililokumbwa na tope la Volcano Gwajima  amesema yeye kama mbunge atahakikisha analisimamia na kulifutilia suala hilo kwa ukaribu sana huku akishirikiana nao.

“Wataalam wetu wanaendelea kufanya uchunguzi ili wajue hiki ni kitu gani kama ni mabaidliko ya hali ya hewa au mzunguko wa dunia kwa hiyo tuvute subira wakati serikali inataka kujua tatizo hili jina lake linaitwa nini”  amesema Gwajima

Aidha Gwajima ameongeza kuwa atahakikisha anaiomba serikali kuweza kufanikisha suala la upatikanaji wa tathmini hukua linafanyika haraka huku akiwaahidi wanakunduchi kuwa yajayo yanfurahisha 

“Tuangalie ofisi ya serikali inafanya nini katika jambo hili na mimi ntakuwa nao bega kwa bega hakuna mtu atakaye onewa wala kupata shida kwasababu ya jambo hili niwahakikishieni mimi pamoja na wawakilishi wengine tutakuwa pamoja kuona litakalo tokea Kunduchi poleni kwa jambo hili lakini yajayo yanafurahisha” amesema Gwajima

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea