Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kilichowafanya Mdee na wenzake 18 wasiende kikaoni

Tuesday , 1st Dec , 2020

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (BAWACHA), wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ,CHADEMA, Halima Mdee amesema kuwa uamuzi wakutokuhudhiria  kikao cha kamati kuu ulikuwa ni uamuzi wa busara kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (BAWACHA), wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ,(CHADEMA), Halima Mdee

Akizungumza leo katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mdee, amesema kuwa hawakuweza kuhudhuria kikao cha Kamati kuu kutokana na kuwepo na mpango wa kufanyiwa fujo na baadhi ya wanachama huku akisema walimtumia katibu mkuu barua ya kutaka kikao hiko kisogezwe.

“Tuliandika barua ya kutaka kikao hiko kisogezwe tulijibiwa na tulikataliwa na kwa sababau hakukuwa na  mazingira ambayo yalituonyesha zile sababu mbili ambazo tumezitoa zimepatiwa masuluhisho tulidhani kibinadamu ni busara kuto kwenda sio kwamba tulidharau chama wala kikao” amesema Mdee

Aidha kuhusiana na wao kuvuliwa uanachama wao na na nyadhifa zao zote kwenye chama, Mdee amesema kuwa yeye na wenzake wataendelea kuwa wanachama wa chama hicho mpaka rufaa zao zitaposikilizwa.

“Tutabaki Chadema kama wanachama wa hiari, japo tumefukuzwa ila hatutoondoka sisi ni wanachama ving’ang’anizi, hatuondoki Chadema mpaka pale tutakapoenda kusikilizwa rufaa zetu, na tunaamini tutayamaliza na tutaenda kuyajenga ndani kwetu” amesema Mdee

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea