Picha ya Abdul Misambano
"Siku hizi hakuna mkorogo kuna mafuta special unapaka unakuwa mweupe, nimepaka mafuta sana na mpaka leo bado napaka. Kuna muda nakuwa chocolate wakati mwingine nakuwa mweupe zaidi ya hapa". amesema Abdul Misambano
HitMaker wa ngoma ya 'Asu' Abdul Misambano amefunguka suala la wasanii kujichubua kwa kusema hata yeye bado anatumia mafuta ya kubadilisha rangi na kuna muda anakua mweupe zaidi alivyo kwa sasa.