
Mawaliki wanaowatetea washtakiwa hao wapo watatu akiwemo Amri Linus, Erick Mutta pamoja na Steven Kitale wamesema wameupokea uamuzi wa mahakama na kwamba wana mashahidi 30 na vielelezo visivyopungua 12 ikiwemo video watakavyowasilisha mahakamani hapo
Baada ya mawakili hao kusema wapo tayari na wamejipanga kuleta mashahidi 30, hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama hiyo
Ushahidi wa upande wa utetezi utaanza kutolewa kuanzia tarehe 17 hadi 21 ya mwezi huu.
Ikumbukwe kuwa Zumaridi na wafuasi wake 8 wanakabiliwa na shtaka la kuwazuia maafisa wa serikali kutekeleza majukumu yao na kuwashambulia askari polisi wawili ambao ni James Mgaya na Evodius wakati wa ukamataji