Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kenya kuruhusu bayoteknolojia katika vyakula

Tuesday , 4th Oct , 2022

Kenya imekuwa ni taifa la pili barani Afrika baada ya Afrika Kusini kuruhusu vyakula vya bayoteknolojia kutumika ndani ya mipaka yake pamoja na uingizwaji wa bidhaa hizo.

Mahindi yaliyobadilishwa vinasaba (GMO)

Baraza la mawaziri nchini Kenya limefungua mabilioni kwa kampuni zinazojihusisha na sekta ya viumbe vilivyobadilishwa vinasaba (GMO) baada ya kuidhinisha kilimo na uingizaji wa mazao ya bayoteknolojia katika mabadiliko makubwa ya kisera ambayo yanalenga kuifanya Kenya kuwa na uhakika wa chakula na kuwa na bei ya rafiki.

Rais William Ruto wiki hii aliongoza kikao cha baraza la mawaziri kilichoondoa kusitishwa kwa sera ya 2012 ambayo ilizuia uingizaji wa bidhaa za aina hiyo au kilimo cha wazi cha mazao ya GMO.

Kampuni zinazojihusisha na utengenezaji wa mbegu za GMO zitakuwa  miongoni mwa wanufaika wakubwa wa mabadiliko ya sera hiyo ambapo yataweka shinikizo kwa wakulima kupunguza bei au kulazimika kutoka sokoni.

HABARI ZAIDI

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Anton Sabasaba Akizungumza wakati alipohudhuria kikao cha wazazi katika Shule ya Msingi Elisabane Mei 24, 2024

Wototo wafuatiliwe na kulindwa kama mboni - Anton

Maduka ya Wafanyabiashara yakiwa yamefungwa

Wamiliki wa maduka Mebya wafunga biashara zao

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea