"Nampenda Alikiba" - Maua Sama

Picha ya Maua Sama na Alikiba

Achana na Maua Sama kueleza kuwa hakuna aliyewahi kutokea mwenye sauti kama yake kwenye kuimba, amefunguka kingine baada ya kuweka wazi kumkubali Alikiba akisema anampenda mpaka anampenda.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS