2022 tuendelee kuwa wamoja - Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewatakia heri za sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya, Watanzania wote na kuwataka kusherehekea kwa amani na utulivu na kusisitiza umoja kwa mwaka 2022.