Tuchel aijia juu FA ya Uingereza
Kocha mkuu wa Chelsea, Thomas Tuchel amelishutumu vikali Shirikisho la soka nchini Uingereza kutokana kukataa maombi ya kuhairisha michezo yao kutokana na kukithiri kwa majeruhi na maambukizi ya UVIKO-19 kwenye kambi ya timu hiyo.