Mbowe na wenzake wakutwa na kesi ya kujibu

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wakiwa mahakamani

Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imewakuta na kesi ya kujibu Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe pamoja na wenzake watatu katika kesi inayowakabili  namba 16 ya mwaka 2021.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS