Waziri aagiza Wananchi kukamatwa
Naibu Waziri wa Tamisemi David Silinde ametaka hatua kali kuchukuliwa kwa wananchi waongoza migomo ya kutochangia shughuli za maendeleo au kuzuia miradi ya maendeleo inayopelekwa na serikali katika maeneo yao kwa faida ya watu wote wa eneo husika.