Hamis wa BSS amlilia Harmonize "Naomba anisamehe"
Ni 'headlines' za Hamis wa BSS msanii aliyejipatia umaarufu kupitia mashindano ya kusaka vipaji Bongo, ameonekana kumwaga machozi kwa boss wa lebo ya Konde Gang Harmonize huku akitaka msaada kutoka kwa msanii huyo.