Ben Pol awapa ujumbe mzito Msanii wa kiume wa bongo fleva Ben Pol, amewataka wasanii wenzake kuacha uvivu na kufanya kazi kwa bidii, kwani licha ya sanaa kuwahitaji, pia wana majukumu ya kutimiza. Read more about Ben Pol awapa ujumbe mzito