NEC yaongeza muda wa kujiandikisha Makambako Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeongeza muda wa siku mbili zaidi katika zoezi la uandikishaji wapiga kura kwenye daftari lakudumu la wapiga kura kwa njia ya Biometric voters registration (BVR). Read more about NEC yaongeza muda wa kujiandikisha Makambako