Waishio Mabondeni Shinyanga watakiwa kuhama.
Kutokana na Mvua zilizosababisha maafa Mkoani Shinyanga na kusababisha watu 42 Kufariki na 91 kujeruhiwa Mkuu wa mkoa huo amewataka wananchi waishio maeneo ya mabondeni kuhama ili kuepuka madhara kujitokeza kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.