Chenge, Ngeleja, Tibaijuka wasimamishwa NEC ya CCM
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi kimewasimamisha ujumbe wa Halmshauri Kuu ya chama hicho NEC wanachama wake watatu ambao ni wajumbe wa NEC kufuatia na kuhusika kwao katika sakata la akaunti ya Tegeta Escrow.