Chama: UDPMgombea Mwenza (Makamu wa Rais): Juma Khamis FakiIdadi Ya kura: 0Ana umri wa miaka 46 Saum Hussein Rashid ni mmoja wa wagombea wanawake watatu wanaowania Urais kwenye uchaguzi huu. Ni Katibu Mkuu wa chama cha UDP Amekuwa mstari wa mbele katika masuala ya haki za wanawake na usawa wa kijinsia.