Gombo Samandito Gombo ni mwanasiasa mwenye uzoefu katika siasa za Zanzibar na Bara.
Amewahi kushiriki katika harakati za kijamii ndani ya chama cha CUF akitetea haki za wanyonge.
Amewahi kuwa mtumishi wa umma
Alikuwa Mkurugenzi Halmashauri Wilaya ya Mbinga
Alikuwa kiongozi wa kampuni ya upimaji ardhi inaitwa Ardhi Plan limited
Anagombea Urais kwa mara ya kwanza.



















