Chama: 
DP
Mgombea Mwenza (Makamu wa Rais): 
Sadoun Abrahman Khatib
Idadi Ya kura: 
0

Abdul Juma Mluya ni mwanasiasa mkongwe katika harakati za kidemokrasia.

Alianza safari yake 1986 akiwa UVCCM akiwa na miaka 12 tu

Baadae akahamia chama cha Wananchi CUF

Kwasasa ndiye  Mwenyekiti wa wa chama cha DP

Chama chake kimekuwa kikisisitiza uwajibikaji wa serikali na haki sawa kwa wananchi.