Hassan Kisabya Almas ni mwenyekiti wa bodi shule ya kingereza Bunge Pre & primary
Katibu Mkuu wa chama cha NRA
Mwanachama kamati ya bajeti ya vyama vya siasa.
2015 aliwahi kuwania nafasi ya SPIKA wa Bunge kama kijana kutoka NRA
Ana shahada ya utawala aliyoipata chuo kikuu cha Zanzibar 2007
Ana uzoefu wa kufanya kazi kwenye NGO’s


















