Chama: 
CCM
Mgombea Mwenza (Makamu wa Rais): 
Emmanuel John Nchimbi
Idadi Ya kura: 
0

Samia Suluhu Hassan alizaliwa tarehe 27 Januari 1960, Makunduchi – Zanzibar.

Amehudumu katika nafasi mbalimbali za uongozi, ikiwemo Waziri wa Utalii, Biashara na Uwekezaji Zanzibar (2005–2010) na Mbunge wa Makunduchi (2010–2015).

Mwaka 2015 aliteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania na mwaka 2021 akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ana shahada ya juu kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe, Open University of Tanzania, na University of Manchester.