Majalio Paul Kyara mzaliwa wa Mei 10,1980 hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Amesoma masuala ya utalii chuo kikuu cha Magogoni
Ana stashahada ya uongozi wa hoteli aliyoipata chuo cha Masoka Kilimanjaro na kutunukiwa tuzo ya mwanafunzi bora
Ni mfanyabiashara anayemiliki MK Pharmacies, Legho Hotel na Biashara ya kilimo cha Mahindi Dodoma.
Alijiunga vijana CHADEMA mwaka 1999
Mwaka 2005 alijiunga na SAU baada ya kushindwa uchaguzi wa ndani ya CHADEMA
Mwenyekiti kanda ya Pwani SAU
Mume wa Matilda na WAMEJALIWA watoto sita wanne ndo wapo hai.



















