Chama: UMDMgombea Mwenza (Makamu wa Rais): Mashavu Alawi HajiIdadi Ya kura: 0Mwajuma Noty Mirambo ana umri wa miaka 58 Kazi yake ni Mwalimu Amekuwa kiongozi wa wanawake ndani ya chama chake Amewahi kugombea udiwani, ubunge kwa nyakati tofauti Amewahi kushika nyadhifa mbalimbali kwenye kamati za hamasa kwenye michezo.