Ana umri wa miaka 63
Ni mtoto wa mwisho kwenye familia ya watoto sita
Alizaliwa Kingongo, Kilwa mkoa wa Lindi
Alipomaliza elimu yake ya Sekondari alifanya kazi kwenye viwanda vya nguo
Alianza siasa kwenye umoja wa vijana wa CCM
Baadae akajiunga NCCR Mageuzi na akawa mwenyekiti wa NCCR wilaya ya Ubungo
Baadae akajiunga TLP
2009 alijiunga na UPDP na alikuwa meneja wa kampeni wa chama hicho uchaguzi wa 2010 na 2015
2020 aliwania Uraisi kwa tiketi ya UPDP
Hii ni mara yake ya pili kuwania Urais wa Tanzania


















