Haji Ambar Khamis amezaliwa 1960 Pemba ya Kusini
Ana taaluma ya uhandisi
1995 alijiunga ADA TADEA
Na mwishoni mwaka huohuo 1995 alijiunga rasmi na NCCR Mageuzi
1999 akawa mwanachama wa bodi ya wadhamini NCCR
2000-2024 alikuwa makamu mwenyekiti wa NCCR
Kuanzia mwaka 2022 amekaimu nafasi ya mwenyekiti Taifa wa chama hicho



















