
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga Janeth Magomi amethibitisha kutokea tukio hilo ambapo amesema moto huo umeanza kuwaka majira ya saa tano usiku wakati wanafunzi hao wakiwa wamelala ndani ya bweni hilo lililokuwa na watoto 32
Kufuatia tukio hilo Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga linafanya uchunguzi wa chanzo cha moto huo kwa kushirikiana na mamlaka nyingine ili kubaini kilisababishwa na nini