Jumatano , 31st Aug , 2022

Mwanza Hotel ya jijini Mwanza inateketea kwa moto usiku huu wa leo Agosti 31, 2022.

Moto unaowaka Mwanza Hotel

Taarifa za awali zimeeleza kuwa moto huo umezuka majira ya saa 1:00 jioni, ambapo umeunguza upande wa Casino iliyopo ndani ya hoteli hiyo na kwamba mpaka sasa juhudi za kuzama moto huo zinaendelea.

Taarifa zaidi zitafuata