Alhamisi , 13th Oct , 2022

Msanii H Baba ameingia sakata la Killy na Cheed kusepa lebo ya Kondegang ya Harmonize kwa kusema amekutana na wasanii hao BASATA wakifuatilia haki zao baada ya mikataba yao kusitishwa Kondegang.

Picha ya H Baba kushoto, kulia ni Harmonize, Killy na Cheed

Zaidi msikilize hapa H Baba akifunguka zaidi kuhusu sakata la Killy na Cheed mikataba yao kusitishwa Kondegang.