
Picha ya Hamisa Mobetto kushoto na kulia ni Wema Sepetu
Wema Sepetu ndio alikuwa wa kwanza kufikisha wafuasi hao siku za hivi karibuni kisha kufuatiwa na Hamisa Mobetto siku ya leo Oktoba 13, 2022.
Kwa Afrika Mashakiriki mastaa watatu wanaoongoza kuwa na wafuasi wengi mtandao wa Instagram ni Zari The Boss Lady akiwa na watu Milioni 11, Wema Sepetu na Hamisa Mobetto wote wana Milioni 10.