Jumanne , 11th Oct , 2022

Msanii Lody Music amefunguka malipo anayoyapata kwenye biashara ya kuandikia nyimbo wasanii kama Nandy na Saraphina (Phina).

Picha ya msanii Lody Music

Lody Music amesema tayari ameandika nyimbo mbili za Nandy ambazo ni 'Siwezi na Napona' pia Saraphina amemuandikia wimbo wa Super Woman na amekiri kulipwa pesa nzuri na wasanii hao.

Zaidi tazama hapo chini akizungumzia pesa anazolipwa kwenye uandishi wa nyimbo.