Jumatatu , 1st Jun , 2015

Ujio mpya wa kipindi cha radio cha Planet Bongo ambayo kuanzia leo imeanza kuruka kuanzia saa 7 mpaka saa 10 jioni, ikijikita katika habari na burudani ya muziki wa Bongo Flava pekee, umekuwa ni kivutio kikubwa kwa wadau na mashabiki.

wasanii wa muziki wa bongofleva Luteni Kalama na mchumba wake Bella

eNewz tumeweza kuongea na msanii wa muziki Bella na mchumba wake Luteni Kalama kuhusiana na taarifa hizo mpya za Planet Bongo kuhamia katikati ya wiki, ambapo wameeleza kufurahishwa sana na nafasi hiyo kubwa kwa muziki wa bongo flava.