Jumamosi , 7th Mar , 2015

Kundi la muziki la Mexicana Lacavela ambalo liliwahi kuzitikisa chati za muziki wa Bongo Flava kwa kiasi kikubwa katika miaka ya nyuma kabla ya kupasuka na kusambaratika,

Mexicana Lacavela

limerejea tena baada ya mastaa waliokuwa wanaunda kundi hilo kumaliza tofauti zao na kuamua kufanya tena kazi pamoja.

Kama zawadi kwa mashabiki wao, Biashara, ngoma unayoisikiliza sasa katika background ndio joint mpya kutoka kundi hilo, na kuhusu kurejea kwao enewz tumeongea na Baghdad kutoka kundi hilo na hapa anaeleza kwa kifupi.