Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeweka utaratibu wa kabla ya mchezo wowote lazima kufanyike vipimo vya Covid-19 ili kuchukua tahadhari ya ugonjwa huo ambao ulitikisa dunia.
Hata hivyo, hakuna cha kuhofia kwa kuwa hakuna yeyote miongoni mwao kwenye msafara wao ambaye ameonyesha dalili za ugonjwa huo lakini kwa kuwa ni takwa la kikanuni kutoka CAF hivyo lazima tufanye.


