Mchele kutoka Pakistani wateketezwa Zanzibar

Magunia ya Mchele yakiteketezwa

Jumla ya tani 27 za Mchele aina ya Alfaiz zimeteketezwa na Wakala wa Bodi ya Chakula Dawa na Vipodozi Zanzibar baada ya kuharibika kwa maji wakati wa usafirishaji kutoka nchini Pakistani. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS