Walimu wasogeza miguu ya wanafunzi ili wafundishe
Shule ya Msingi Mkapa iliyopo Mpanda mkoani Katavi, inakabiliwa na upungufu wa madarasa na kuelemewa na idadi kubwa ya wanafunzi hali inayopelekea wanafunzi zaidi ya 250 kukaa darasa moja tena chini ili waweze kutosha hali inayopelekea walimu washindwe hata kusogeza miguu yao.