Samia Aongoza Utiaji saini wa Mikataba Dubai
Leo Februari 27 2022, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshuhudia zoezi la utiaji saini wa mikataba mbalimbali baina ya Tanzania na wawekezaji, na sekta binafsi na wawekezaji Dubai.

