Alikiba amjibu Maua Sama "Hakuna wa kukupiga" Picha ya msanii Alikiba na Maua Sama Staa wa muziki Bongo Alikiba amemjibu Maua Sama kwa kumwambia hakuna mtu wa kumpiga akirudia kusikiliza wimbo wake wa Zai, Utu ya Alikiba na I wish ya Kusah. Read more about Alikiba amjibu Maua Sama "Hakuna wa kukupiga"