"2022 ni mwaka wa kupunguza watu" - Irene Uwoya Picha ya Irene Uwoya Captain wa BongoFlava Tundaman anasema kama una rafiki snitch, mpenda bata, miyayusho au humuelewi we mpunguze tu, hii ndio style atakayoingia nayo staa wa filamu Irene Uwoya mwaka 2022. Read more about "2022 ni mwaka wa kupunguza watu" - Irene Uwoya