Raia wa Nigeria wagoma kuondoka Ukraine Jengo la ubalozi wa Nigeria nchini Ukraine Baadhi ya raia wa Nigeria ambao wapo nchini Ukraine wamegoma kurudi kwao na kutaka kubaki huko huko licha ya nchi hiyo kuingia katika vita na Urusi. Read more about Raia wa Nigeria wagoma kuondoka Ukraine