Chilwell nje msimu mzima, Chelsea yaingia sokoni

Mabingwa wa Ulaya, Chelsea, The Blues, ipo mbioni kusaka beki wa Kushoto kwenye majira haya dirisha dogo la usajili, mwezi Januari 2022 hii ni kutonana na madaktari wa timu hiyo kuthibitisha kuwa Beki wa kushoto Ben Chilwell atakuwa nje msimu mzima baada ya kuumia goti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS