Inter Milan bingwa mpya Italian Super Cup
Klabu ya Inter Milan imefanikiwa kuwa Mabingwa wa Italian Super Cup kwa mwaka 2022 baada ya usiku wa kuamkia leo kuwafunga wapinzani wao Juventus mabao 2-1 kwenye mchezo wa fainali uliochezwa Guisseppe Di Meazza, Italia.