Amir Khan atamba kumchapa Kell Brook

(Kell Brooks (kushoto) na Amir Khan kila mmoja akishiangilia Ubingwa wake)

Bondia Amir Khan ametamba kumpiga Kell Brooks kwenye pambano maalum la kumaliza ubishi kati ya wapizani hao wa muda mrefu la SuperWelter Weight (Uzito wa kati) linalotaraji kuchezwa Jumamosi ya Februari 17, 2022 kwenye Ulingo uliopo Manchester nchini England.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS