Magari mabovu marufuku kubeba wanafunzi

Hatua hiyo imekuja kufuatia ukaguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kitengo cha usalama barabarani mkoani humo kubaini kuwa kati ya magari 20 yaliyokaguliwa,matano yamekutwa yakiwa mabovu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS