Dababy Ni bora kuliko Drake,Kendrick Lamar,J cole Msanii wa hip hop DaBaby amezua mjadala mkubwa baada ya kudai kuwa yeye ni bora kuliko kundi la marapa wanaojulikana kama “Big 3”, linaloundwa na Drake, Kendrick Lamar na J. Cole. Read more about Dababy Ni bora kuliko Drake,Kendrick Lamar,J cole