Ndala kuamua nusu fainali CAFCL Mamelod vs FAR

Jean-Jacques Ndala - Mwamuzi kutoka DR Congo

 Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), limemteua Mwamuzi kutoka DR Congo, Jean-Jacques Ndala, kusimamia mchezo wa awamu ya kwanza wa fainali ya CAF Champions League kati ya Mamelodi Sundowns na FAR Rabat.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS