Chris Brown awacha viongozi ''hawataki amani''

Pichani Msanii Chris Brown

Msanii wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Chris Brown, ameibua mjadala mitandaoni baada ya kuweka ujumbe mfupi katika ukurasa wake wa Insta Story kwenye Instagram akisema, “People in power are so allergic to peace.”

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS