Wasubiri Mpanzu azeeke ndiyo wamchukue - Ahmed
Simba SC kupitia kwa Meneja wa habari na mawasiliano, Ahmed Ally imethibitisha kuwa Nyota wao Elie Mpanzu ni mchazaji halali mwenye mkataba na kikosi hicho wa miaka miwili tofauti na taarifa zilizosambaa kuwa nyota huyo yupo kwa mkopo ndani ya kikosi hicho.